BEKI wa kati Mtanzania, Noela Luhala anayeitumikia ASA Tel Aviv inayoshiriki Ligi ya Wanawake, Israel ni kama amejihakikishia ...
BEKI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Salford City inayoshiriki Ligi Daraja la Pili England, Haji Mnoga anakiwasha kwenye ...
Kama kawaida. Ndivyo baadhi ya mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing'oa Al Ahli Tripoli ya Libya kwa mabao 3-1 na kutinga kibabe makundi ya michuano ya ...
Katika hatua nyingine, Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe, amesema kikosi cha Yanga kitanarajia kuondoka jijini Dar es Salaam kesho kuelekea Zanzibar, huku kile cha CBE nacho kikitarajiwa kutua ...
KOCHA wa timu ya taifa ya Kriketi, Muthumudalige Pushpakumara, amesema wamejipanga kuhakikisha wanapata nafasi moja wapo kati ...