YANGA imetinga kwa kishindo hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya juzi usiku kuendelea kupeperusha vyema ...
Timu za Azam na Yanga vitashuka katika dimba la taifa Dar es salaam hapo kesho katika mchezo wa fainali. Mchezo huu ni wa fainali ya michuano ya kombe la shirikisho ambapo timu hizi mbili zitakuwa ...
Kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa Bitegeko amezungumza na Mwanaspoti na ametaja sababu zilizomfanya kuikataa Yanga ambayo ilitajwa kuwa imeshaafikiana naye kwa ajili ya kujiunga nayo ...
TAYARI Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza tarehe za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) 2025, ...
Mabingwa wa Tanzania Bara Timu ya Yanga imetoshana nguvu na Azam FC, kwa kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya Kundi B michuano ya Mapinduzi Cup 2016 iliyopigwa jana Uwanja wa Amaan jijini Zanzibar.
UNAWEZA kufunga zaidi ya wengine, lakini huwezi kufunga kila mechi na kuweka mpira wavuni kila nafasi inayopatikana. Mijadala ...
ACHANA na mabao mawili aliyofunga huku akiuchunua kushangilia kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar wakati ...
Young Africans SC, popularly known as “Yanga,” pulled off a crucial victory away from home against a determined Ethiopian ...
Unaweza kusema Kocha Miguel Gamondi amekuja Yanga kwa ajili ya kufanya yasiyowezekana yawezekane kwani hadi sasa ameifanya ...
KOCHAwa Yanga, Miguel Gamondi amesema wamejipnga kuhakikisha wachezaji wa timu hiyo wanatumia kwa usahihi nafasi ...
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga imepita hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao wa mabao 6-0 dhidi ya Vital’o mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex uliopo ...