Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limeingia makubaliano ya miaka miwili na taasisi ya kijamii ya Marekani ya ...
TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Kriketi imeitandika Lesotho kwa mikimbio 122 mchezo wa hatua ya pili wa makundi wa kufuzu Kombe ...
BAO la Erling Haaland alilofunga jana limekuwa bao lake la 100 akiwa na Manchester City katika mchezo ulioisha sare ya 2-2 dhidi ya Arsenal, uwanja wa Etihad. Mshambuliaji huyo wa Norway alicheza mech ...
MRADI wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kilometa 0.75 wenye thamani ya Sh milioni 423 unaolenga kuboresha mazingira ...
DAR ES SALAAM: Leonel Ateba ndiye aliyefufua matumaini ya Simba SC kwenda makundi ya Kombe la Shirikisho baada ya kuweka ...
CHINA: Zhong Shanshan ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya maji ya chupa ya Nongfu Spring, ambayo iliorodhesha hisa ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshinda tuzo ya ‘Stories of change’ kipengele cha taasisi ya ...
TIMU ya mpira wa miguu ya Benja Fc imetwaa ubingwa wa Ligi ya Tulia Trust Uyole Cup 2024 iliyofikia tamati leo kwenye uwanja ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema hatosita kuwachukulia hatua za kinidhamu na kisheria maofisa maendeleo ya jamii, wasimamizi w ...
UKIWA mjini na hasa Dar es Salaam, chunga usijekukatishwa maisha unapotembea barabarani. Maana baadhi ya madereva, waendesha ...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini, Kepteni mstaafu George ...
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameongoza tukio la kihistoria la kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa ...