Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu ...
Mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Nicole Mbowe amekamatwa na Polisi leo Jumatatu Septemba 23, 2024 eneo la Magomeni, ...
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Septemba ...
Hiyo ni kauli ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro aliyoitoa leo Jumatatu Septemba 23, 2024 ...
Kwa mara ya kwanza tangu aondoke Manchester United mwaka 2022, Cristiano Ronaldo aliibuka wiki iliyopita na kurusha makombora ...
Yanga imeendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya Jumamosi iliyopita kuibuka na ...
Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo ...
Leo Jumatatu, Septemba 23, 2024, ikiwa siku ya maandamano ya maombolezo na amani yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hali ya eneo la Mwenge, huku askari polisi ...
Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam, huku raia wakiendelea na majukumu yao ya ...
Hali ilivyo asubuhi ya leo Jumatatu Septemba 23, 2024 eneo la Ilala Boma, jijini Dar es Salaam ambapo Polisi wa kutuliza ...
Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amesema kwa sasa nyota mpya wa kikosi hicho, Victorien Adebayor yupo tayari kuanza kuitumikia timu hiyo baada ya awali kumpa programu ...
Kocha ulidhani ni utani, basi utakuwa unakosea, kwani Wekundu wa Msimbazi, Simba wameamua msimu huu kufanya yao na wakati wowote watamtangaza winga mpya, Elie Mpanzu ambaye inadaiwa ...