UKIMGUSA shabiki wa Yanga atakukera na maneno yao ya tambo juu ya kutinga makundi kibabe tena mara ya pili mfululizo, ikiwang ...
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amesema kwa sasa nyota mpya wa kikosi hicho, Victorien Adebayor yupo ...
Baada ya msimu uliopita wa mashindano 2023/24 kumalizika, Yanga ikiwa na mataji mawili ya ndani, Ligi Kuu Bara na Kombe la ...
Ule ukuta wa Simba mnauzingatia lakini? Umeshaupiga mwingi kwenye ligi ukiwa haujaruhusu bao, kama haitoshi ukaendeleza ubabe huo kimataifa, hivyo hadi sasa beki Henock Inonga ni kama ...
VIGOGO wa kandanda nchini, Simba na Yanga zote kutoka jijiji, Dar es Salaam zinatarajia kupeperusha bendera ya Tanzania ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameamua kutovunja kambi ... Kamwe pia alitoa ufafanuzi kwa nini straika mpya wa timu hiyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Jean Baleke, amekuwa haonekani ...
(L'Equipe, In French , Subscription Required) Manchester United wanatarajiwa kumpa winga Amad Diallo, 22, mkataba mpya wa muda mrefu katika miezi ijayo. Mkataba wa sasa wa raia huyo wa Ivory Coast ...
Tayari amefunga mara mbili kwa klabu yake mpya, ambayo inampeleka nusu ya msimu wake wa ufungaji bora tayari. Mshambulizi Alvarez tayari amefunga mabao manane ya Ligi ya Mabingwa na kushinda kombe ...
katika mchakato wa kuunda timu yake kwa muhula mpya wa miaka mitano, "aliomba Ufaransa kuondoa (jina lake)". "Siku chache zilizopita, katika kipindi cha mwisho kabisa cha mazungumzo juu ya muundo ...
Kipyegon aliweka historia ya kuwa Mkenya wa kwanza kushinda taji la Olimpiki la mita 1,500 mfululizo baada ya kuweka rekodi mpya ya Olimpiki ya 03:51.29. Wanariadha wa Kenya Beatrice Chebet na ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini Burundi linasema asilimia 33 ya wagonjwa wa homa ya nyani au mpox nchini humo ni watoto wa kwenda shule wenye umri wa kuanzia miaka 5 ...
Mratibu Mwandamizi wa Misaada ya Kibinadamu na Ujenzi mpya wa Umoja w Mataifa, Sigrid Kaag, amesema yeye na timu yake wamekuwa na mikutano yenye matokeo mazuri na mamlaka ya ngazi za juu ya Kiyahudi, ...