KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema timu nyingi za Ligi Kuu Tanzania Bara zimekuwa na utamaduni wa 'kupaki basi' ...
KIUNGO mshambuliaji wa Namungo, Hassan Kabunda ni miongoni mwa wachezaji wachache wa Ligi Kuu Bara ambao hawajapita mitaa ya Msimbazi na Jangwani.
Maskini akipata, makalio hulia mbwata. Kipato huleta majivuno. Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Misemo hii, labda na mingine ...
HAWAPONI, hayo ni maneno ya Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, kuelekea mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tabora ...
(Football Insider) Chanzo cha picha, Getty Images Klabu za Ligi Kuu ... msimu huu wa joto. (Sportsport) Mkufunzi mpya wa Manchester United Ruben Amorim anataka wachezaji watatu wa Sporting ...
Na Asha Juma, Yusuf Jumah & Dinah Gahamanyi Chanzo cha picha ... kuondoa taka za serikali katika kile bilionea huyo aliita " Idara ya Ufanisi wa Serikali.’’ Wachezaji wa Chess kutoka nchi ...
Pambano likipita tunarudi katika ubishani wetu wa Simba na Yanga. Klabu hazina sera za kuuza, wachezaji hawana mioyo ya kupambana, lakini pia mameneja wetu wapo tu kwa ajili ya kusubiri kamisheni ya ...
Kwa upande wa Mwamnyeto msimu huu ni kama amepoteza namba mbele ya Job na Bacca, wakati Yanga ikicheza mechi tisa za ligi, yeye amecheza nane kati ya hizo mbili akitokea benchi dhidi ya KMC na Simba.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anasema amemfuta kazi Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant, akielezea "mgogoro wa uaminifu." Netanyahu alisema katika taarifa jana Jumanne kwamba uaminifu kati ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa salamu za pongezi. Taarifa iliyotolewa Jumatano asubuhi jijini New York, Marekani na msemaji wa Umoja wa Mataifa, imemnukuu Guterres akisema ...
BAADA ya rekodi ya kutopoteza mchezo wala kufungwa bao raund nane kuingia doa, klabu ya Yanga leo inashuka dimbani dhidi ya Tabora United katika mfululizo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Mchezo huo ...
Hospitali ya Kamal Adwani, iliyoko eneo la kaskazini mwa Gaza imegeuka uwanja wa vita uliozingirwa huku maisha ya watoto mahututi waliomo kwenye mashine za kuwasaidia kuishi yakiwa mashakani, amesema ...