Manchester, England. Mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland ameweka rekodi ya kufunga mabao 100 akiwa na timu hiyo.
Siku moja baada ya Mwananchi kuchapisha habari kuhusu Pascolina Mgala (20), mwenye uvimbe mguuni aliyeteseka kwa miaka tisa ...
Ushindi ambao Yanga na Simba zimeupata juzi Jumamosi na jana Jumapili umezihakikishia timu hizo kutinga hatua ya makundi ya ...
Polisi jijini Dar es Salaam wamewakamata waandishi wa habari wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa ...
Wakati leo Jumatatu Septemba 23, 2024 hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob ...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la dhamana ya Meya wa zamani wa ...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa ...
Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu ...
Hiyo ni kauli ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro aliyoitoa leo Jumatatu Septemba 23, 2024 ...
Mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Nicole Mbowe amekamatwa na Polisi leo Jumatatu Septemba 23, 2024 eneo la Magomeni, ...
Kwa mara ya kwanza tangu aondoke Manchester United mwaka 2022, Cristiano Ronaldo aliibuka wiki iliyopita na kurusha makombora ...
Yanga imeendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya Jumamosi iliyopita kuibuka na ...